Up next

Autoplay

FEMI ONE - SUSPECT (OFFICIAL VIDEO) FEAT KATAPILLA

16 Views • 19/May/23
Share
Embed
Femione
Femione
Subscribers
0

A Kaka Empire & Femi One 2023 presentation
Off the ''Dem Kutoka Mwiki'' EP
Audio Produced & mastered by Vince On The Beat "The Beat Killer"
Video Directed By Jijo Drums
Femi One & Katapilla styled by Yobi denzel
Femi One make-up by Glam by Vivian
Hair @Elly_thebarber


LYRICS

Mmh aah yeah.. suspect
TV ikipotea kwa ploti si ndo masuspect
Msupa ratchet, body form perfect
Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket.

Mmh aah yeah.. suspect
Bangi ikitupa kwa ploti si ndo masuspect
It's like I'm on a plane nigga you ain't got yet
Napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic

Verse 1:

Mmh aah yeah.. suspect
Your hubby kwa choo na simu Femi ndo suspect
Denno ananichapia tushabadili bracket -
ya taxes tuliwachanga kuball on a budget

Maisha soft, money talks, shika accent
Kamati juu ya mawe, riba? mi ndo subject
Ni marathon na mnashindana nani fastest?
The madness!
Na'after miezi saba wee ni past tense!

Kusaulika na kusonga na wakati
Studio kunapikwa kama balcon ya Ombachi
Na wafuasi wako njaa na waanabambanya ya munchies..
Miupakua msosi wanagawanya mabakshi..

Pewa moja, pewa mbili za lunchez -
Nina wingi wa mate
Niki tema inahappen
Funga hatrick kwa finale kama Kyliyan Mbappe..
Ni Femi Uno, si wawili ni mjaste

Hook:

Mmh aah yeah.. suspect
TV ikipotea kwa ploti si ndo masuspect
Msupa ratchet, body form perfect
Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket

Mmh aah yeah.. suspect
Bangi ikitupa kwa ploti si ndo masuspect
It's like I'm on a plane nigga you ain't got yet
Napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic

Verse 2:
Skuizi nakula table Moja Na bosses
They can't beat me wanataka tujoin forces
Wanaforce sana ndio iwaprofit Na nipate losses
Hardworker ndio SA nakula Io fruit ya kutrust the process

Wanajua I'm winning it
Nimetoka chini Na nimebeba upini ka rap haina maganji bro ntauza kidney
Hawa marapper finicky wanauliza ni nini
Niko kazini G
No menopause flow Kwa ulimi tight virginity
Huh
Sorry
If you ain't heard of katavelli
Kusema ukweli
Nakumbuka kitambo wakinikejeli
Sai ndio Sauti iskike Kwa izo mitambo you gatta pay me
Had a dream an Angel told me pray and God will never fail me
Buo Buo!
Military mindset
Kama si pesa haunipati kwenye Handset
Vile nachapa kazi lazima nikafunge
Nairobi Nigeria wanashtuka Funke!

Chorus

Mmh aah yeah.. suspect
Another beat another murder, mi ndo suspect
Muosha marapper apa daily bila detergent
incumbent, female emcee the best under the sunset

Wanalalisha wapewe duvet na mattress
Hii mziki ikona wenyewe, compee ni heartless
Kitu muhimu uelewe na ng'aa regardless
jaribu kunipima wazimu nkufanye absent

Look ni clean n'piga look to kill
Handset inavibrate nacheki "who this be"
Mic check, show promoter afike booking fee -
nna flu this week next week niko full degree ugh!

Dynamic duo Kataveli na queen
Matapeli kwa telly nacheki daily wanalink
Krrrrr
Kazi nyepesi, kazaneni nanii
Si tuko very kwa meli mtangoja sana tusink

Hook:

Mmh aah yeah.. suspect
TV ikipotea kwa ploti si ndo masuspect
Msupa ratchet, body form perfect
Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket

Mmh aah yeah.. suspect
Bangi ikitupa kwa ploti si ndo masuspect
It's like I'm on a plane nigga you ain't got yet
Napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic

Produced & mastered by Vince On The Beat

Show more
0 Comments sort Sort By

Up next

Autoplay